, ,

MAKEUP TRANSFORMATION :: STEPHANIE NADIA ANAWAFANYA MARAFIKI ZAKE KUWA WAZEE KWA KUTUMIA MAKEUP.

11:54:00 AM


Meet Stephanie Nadia, a very talented makeup artist, anatumia makeup kuwageuza rafiki zake ambao ni couples na kuwafanya waonekane wazee kabisa, like 50 years older than they really are. Hawa 3 couples wanafanyiwa makeup individually na baadae wanapewa vioo kujiona walivyo, na their reactions are hilarious.

Check out their transformation


Angalia the video and see how they are transformed only by makeup, na get to know watajibu nini wakiulizwa kama bado watapendana wakizeeka.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.