, ,

Matumizi Ya Castor Oil Kwa Nywele, Ngozi Na Afya Usiyoyajua.

7:00:00 AMKwa nywele::

Castor oil inasaidia kukuza nywele, chukua mafuta haya ya castor oil na ku-massage kwenye kichwa. Itasaidia mzunguko wa damu kichwani. Castor oil yana Omega-6 fatty acids ambayo inalainisha na kukuza nywele zako.


Ili kupata matokeo mazuri zaidi, massage mafuta haya kwenye kichwa na uhakikishe unapaka hadi kwenye nywele zako, then funga nywele zako katika buna na uvae kofia ya kulalia.Lala nayo, then kesho yake osha nywele zako vizuri uondoe mafuta yote kisha zikishakauka paka tena kiasi cha kawaida tu. Kama unaona mafuta hayo ni mazito sana jaribu kuchanganya na mafuta ya nazi.


Castor oil inaondoa mba.


Kama una nywele kavu, Changanya kijiko 1 cha castor oil na kijiko 1 cha olive oil na nusu ndimu. 


Kama una nywele zenye mafuta, changanya kijiko 1 cha castor oil, asali, aloe vera gel na nusu ndimu. Paka mchanganyiko kwenye roots za nywele zako, kaa nayo kwa dakika 30 kisha osha kwa shampoo na paka conditioner.

*Changanya castor oil na conditioner yako kufanya dreadlocks zako ziwe laini.*Inafanya nywele zing'ae na kuwa nzito.

Kwa ngozi::

Castor oil inalainisha ngozi, kwakuwa inasaidia kutengeneza elastin na collagen ambazo ndizo huondoa mikunjo usoni na kufanya uso uonekane laini.
Castor oil inasaidia wenye ngozi kavu.
Changanya castor oil na mafuta ya nazi (kipimo sawa) kisha paka katika sehemu ambayo ngozi imekauka.

*Inaondoa madoa ya chunusi.*Inalainisha miguu iliyo kauka, kabla ya kulala paka castor oil kisa vaa socks.*Paka castor oil kipindi cha ujauzito mara 2 kwa siku ili kuzuia stretch marks zisitokee.


Kwa afya::
Inasaidia katika costipation/kupata choo,ipo kama laxative, kunywa kijiko 1 asubuhi. Usinywe kama ni mjamzito.
Jaribisha kupaka castor oil kwenye mkono kanza uone kama itakudhuru au la..wengine huwa wapo allergic na haya mafuta.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.