NJIA ASILI YA KUONDO WEUSI KATIKA MDOMO/NATURAL WAY TO GET RID OF DARK LIPS

3:30:00 PM

Ukijikuta na mdomo mweusi na hujui cha kufanya, unless ndio rangi natural ya mdomo wako basi usifanye kitu.
Njia asilia ya kuondoa weusi kwenye midomo ndio hii, unatakiwa kuwa na Carrot, beetroot, asali na olive oil.
Osha carrot na beetroot, katakata, weka kwenye blender kisha saga. Huo mchanganyiko weka kwenye bakuli kisha weka vijiko 2 vya olive oil na asali, then changanya vizuri.


Kabla ya kupaka mchanganyiko huo, hakikisha unafanyia kwanza scrub mdomo..Ingia HUMU ili kujua jinsi ya kuscrub lips zako ziwe laini.

Then chukua pamba, dumbukiza katika mchanganyiko wako then kuwa kama unapaka kwenye lips zako polepole, kama ni asubuhi kaa nayo kwa dakika 20 then nawa. Kama ni usiku paka na ulale nayo.

Kama una mstari mweusi katika lips zako ongeza ndimu katika huo mchanganyiko wako.

*mchanganyiko unaweza kukaa kwa muda wa siku 12 ukitunza kwenye fridge*


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.