, ,

SAFISHA INI NA KUPUNGUZA MAFUTA YA TUMBO KWA KUTUMIA HIZI DETOX DRINKS.

2:06:00 PM

Tumia vinywaji hivi kusafisha ini/liver na kupunguza mafuta ya tumbo, yani yale mafuta yanayofanya uwe nakitambi na manyama uzembe itatapungua na mwishowe kuisha kabisa. Tumia vinywaji hivi ::

The colourful drink.
Tengeneza juice hii na kuinywa hapo hapo kabla virutubisho havijapungua. Hii ni detox drink ina vitamin C, vitamin A na minerals za kutosha, ina flush toxins na kusafisha ini, na pia ina antioxidants zinazopunguza mafuta ya tumbo...na inasafisha ngozi pia, kunywa glass 1 au 2 kwa siku.

 • 1 bell pepper/hoho
 •  3 carrots
 •  1 cucumber/tango
 •  1 Apple
 •  half lemon/ndimu nusu.


Green tea citrus drink.
 • Green tea iliyopoa
 • Juice ya ndimu nusu iliyo kamuliwa
 • Ndizi 1 iliyosagwa

Baada ya kuisga ndizi weka juice ya ndimu 1/2 na kikombe nusu cha green tea iliyopoa isha ichanganye vizuri..itakuwa tayari kwa kunywa.

Golden liver-flushing drink.

 • Kijiko nusu cha binzari manjano
 • Tangawizi
 • ndimu nusu
 • Glass nusu ya maji

Inasaidia kusafisha ini, na kutuliza tumbo baada ya kula chakula kingi. Hii juice sio tamu sana unaweza kuongeza ndizi kidogo ili kuipa ladha.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.