, , ,

SPOTLIGHT :: JINSI YA KUTENGENEZA MOISTURIZING DEEP CONDITIONER NYUMBANI BY ABEE NATURALS

2:01:00 PM

Haya wale Naturalistas kazi kwenu tu, Abigail ametupandishia video akituelezea na kutuonesha jinsi ya kutengeneza moisturizing deep conditioner nyumbanai kwa kutumia vitu ambavyo unaweza kuvipata kirahisi tu, na usikute tayari unavyo nyumbani kwako.

Moisturizing deep conditioner inaepusha nywele zako zisikatike, inafanya nywele zako kuwa laini na zenye afya, na isitoshe ametumia mafuta asili katika mchanganyiko huu..angalia video below au fanya kwenda straight kwa her YouTube channel :: SWAHILI NAPTURAL


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.