,

Things You Need To Store Up All That Makeup!

3:33:00 PM

Hey makeup Lovers, Naongea na wale makeup obsessed lovers wenzangu, ambao they can not passa a makeup store bila kuingia, ambao hawawezi kutoka kwenye makeup store bila kununua atleast 1 lipstick..and of course wale ambao hawana na hawajui ni jinsi gani kuzitunza hizo makeup zoote walizoamua kununua, especially selfmade makeup artist. 

Najua a lot will think "kwani makeup si napanga tu kwenye makeup table", Yes unaweza kufanya hivyo kama una own makeup kidogo tu, lakini kuna wale wenzangu na mimi ambao hawaachi a new makeup iwapite, inakuwa kama wale wanaoenda na fashion, basi na makeup lovers kuna wale wanaoenda na "trends".

So wengi mnatunza makeup zenu tu juu ya dressing table zenu, so kwa wale wenye ma-makeup mengi wanahitaji dressing table zile zenye drawers nyingi. You need drawers on drawers on drawers!! ili uweze kutunza makeup zako. Every drawer inakuwa na kitu chake, makeup brushes, eyeshadow, foundation, powder, nail polish nk.Makeup Palette storage.
Inakuwa ni vipalette vya kutunzia eyeshadow/foundation palettes, zipo kama zile za kusimamishia mafile.


Makeup Suitcase
Unaweza pia ukatunza makeup zako kwenye a special makeup suitcase, nadhani inakuwa rahisi zaidi, unaweza ukasafiri na makeup zako. Kwa wale walioangalia Hanna Montana alikuwa na suitcase yake special for her makeup, akifungua inakuwa kama na ngazi, ilikuwa hadi na sehemu ya kutunia mawigi yake.Makeup brush storageNail polish storage
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.