, ,

UNACHOTAKIWA KUJUA UKIWA UNANUNUA FOUNDATION.

4:00:00 PM

A lot of us hatujui the right color to buy ikija kwenye foundation, na hivyo tunaishia kununua rangi siyo then unaishia kuonekana kama una rangi mbili. Wanasema you have to get the correct shade.

Fanya research kabla hujaenda kununua..and always read yale maneno ya nyuma/chini inategemea na foundation yenyewe.
Unatakiwa kujua ngozi yako ni ya mafuta, kavu au ya kawaida (Oily, dry or normal) napia kama your skin ni sensitive yanai inakuwa affected kirahisi na vitu vingi.
Kama ngozi yako ni ya mafuta, chagua foundation ambayo ni oil free (oil-free liquid foundation with light weight silicon)

Kama ngozi yako ni kavu chagua foundation inayo hydrate ngozi yako, yenye anti-aging formula na moisturizing ingredients kama vile glycerine, antioxidants na sunscreen.

Wale wenye ngozi ya kawaida ndio wenye bahati, kwani wanaweza kupaka foundation yoyote ile kazi yao ni kuchagua rangi tu.

Wale wenye sensitive skin sasa ndio wanatakiwa kuchagua mineral foundation, hata makeup pia unatakiwa kuchagua mineral makeup. mineral foundation zinakuwa na zinc, fragrance, preservatives.


Choosing your shade/ kuchagua rangi itakayokufaa::
  • Cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua  ni kuwa foundation inatakiwa kuwa a shade lighter kulioko ngozi yako na sio darker.
  • Ni vizuri zaidi ukaenda kununua foundation katika duka ambalo wanakuwa na samples ili uweze kujaribisha,kaa kwenye mwanga wa kawaida(natural light) na ukiwa unajaribisha jaribu ktika sehemu  kama vila kwenye jawline yako(kwenye shavu/katikati) na kwenye shingo au paka tu kamastari kunzia kwenye shingo hadi kwenye shavu.


  • Wengine huwa wanajaribu kwenye mkono, fanya hivyo kama rangi yako ya mkono na uso zinafanana.
  • Foundation nzuri ni ile ambayo ukipaka inapotea katika ngozi yako, haioneshi mikunjo, mistari wala kuacha alama.
*Kama unashindwa kupata rangi yako chukua foundation rangi 2 ambazo unaona ikichanganya utaoata rangi itakayokufaa.

*Brands nyingi huwa zina provide foundation za ngozi zote, yani both oily and dry skin lakini kwa mineral foundation I think ni chache sana. Try buying your foundation katika maduka yenye makeup professionals ili kama hujui waweze kukuelekeza.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.