,

VITU VYA KUFANYA ILI KULINDA NGOZI YAKO AFTER A WILD NIGHT OUT.

4:00:00 PM


You know those night outings that get a little wild au a lot! You drink a little to much, makeup yako nayo inaingia katika ngozi due to sweating kisa una party all night, na isitoshe ukirudi nyumbani unajitupa tu on your bed na kulala. Sidhani kama wengi huwa mnakumbuka kunawa uso na kutoa hiyo makeup.

So the next day ukiamka, your skin itakuwa affected kutokana na makeup na alcohol uliyokunywa the night before, unaweza usione madhara siku hiyo hiyo but you will.

Here are things you should do after a wild night out with your girlfriends.
1.Drink up/Kunywa maji

Wengi huwa wanaamka na kiu sana, that is because unakuwa dehydrated. Ndio you drank all night long lakini not healthy drinks. So kunywa maji ya kutosha, kunywa detox drink (bonyeza HAPA kujua jinsi ya kutengeneza), maji ya nazi.

2.Tumia antioxidants.

Tumia moisturizer yenye vitamin C au caffeine.

3.Get moving/ Tembea.

Usikae tu siku nzima, inuka tembea ili damu ipate kuzunguka mwilini

4.Facial scrub.

Fanya scrub the day after your wild night out, ili kuonda all that makeup, kuonda dead skin na kuiacha ngozi yako safi.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.