VYAKULA 6 VYA KULA BAADA YA KUJIFUNGUA

1:00:00 PM

Baada ya kujifungua, unatakiwa ujitunze uwe healthy kwa ajili yako na mtoto wako pia, na hivyo unatakiwa kula vizuri..hivi ni kati ya vyakula ambavyo unatakiwa kuhakikisha havikosekani kwenye diet yako.

Blueberries/Zabibu
Blueberries zina vitamin C ntingi na hivyo zitakupa antioxidants za kutosha. Kama sio zabibu basi unaweza kula matunda mengine yenye vitamin C kama vile strawberries.

Citrus foods
Vyakula vyenye vitamin C ni kama machungwa, machenza, malimao

Legumes/Kunde
Kama wewe ni vegetarian/ hauli nyama basi kula vitu vyenye protein na fiber kama kunde, maharage,njegere, vinasaidia mzunguko wa chakula.

Nuts
ni kama vile karanga, korosho, mbegu nk.

Samaki, kuku & mayai/Fish, chicken&eggs
Hiviv vinakupa protein nma kukusaidia kupunguza mafuta mwilini

Low-fat diary products/maziwa
Maziwa ni muhimu kwasababu utakua unanyonyesha,utakuwa unahitaji calcium ya kutosha.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.