Watu Wanatumia Weird Tools Kupakia Makeup.

4:00:00 PM

Makeup artists wamekua wakifanya videos tofauti wakionesha wanavyotumia vitu kama kisu, mkasi, kijiko, mswaki na vingine vingi kupakia makeup. Hizi video are meant kuchekesha watu na kuwavutia watu katika channel zao but still mtu unatumia hadi kisu!

Huyu wa kwanza anatumia brush na kifaa cha kukorogea mayai.

Huyu anatumia mkasi

Huyu anatumia kisu


Huyu anatumia mswaki

Huyu ndio kaamua kutumia mswaki.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.