,

ZITAMBUE BENEFITS 5 ZA CHUMVI YA MAGADI/EPSOM SALT.

9:00:00 AM


1.Exfoliates the skin/Inasafisha ngozi
Hutumika kuexfoliate ngozi, yaani kutoa ngozi iliyokufa kwa kuitumia kama scrub, kuondoa black heads. Inatumika kama cleanser.


2.Used as Hair volumizer/kuongeza uzito au afya ya nywele.
Kwa wale wenye nywele nyepesi, inasemekana kuwa epsom salt inazipa nywele uzito, chukua hiyo chumvichanganya na conditioner unayopendelea, massage kwenye nywele kkisha iache ikae kwa muda wa dakika 10-15 kisha osha.


3.Reduces bloating/inapunguza kujaa kwa tumbo.
Soak yourself in epsom salt, chukua hiyo chumvi changanya na maji yako kwenye bathtub yako kisha jiloweke kwa muda kidogo. Hii inareduce water weght.


4.Soothes sore muscles/Inasidia misuli iliyokaza.
Pia kama misuli yako imekaza, unaweza kuitumia kupata unafuu.


5.Improves your bone health/inasaidia mifupa yako.
Kwa kuwa epsom salt ina magnesium, kuitumia mara moja moja kuogea mwili wako unakuwa unaivuta na hivyo kusaidia mifupa yako kuwa na afya zaidi.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.