, ,

5 HOME TREATMENT ZA EXCESSIVE UNDERARM SWEATING.

2:28:00 PM


We all know kwamba sweating ni kitu cha kawaida right, we all sweat..Lakini kuna ile excessive sweating, unakuta ntu umelowa completly haswa ukivaa kitu light, ile sehemu ya kwapa yote inaonesha bonge la mduara..na hii inakufanya uwe uncomfortable mbele za watu. Hivyo leo nimewaletea home treatments 5 zinazoweza kukusaidia kupunguza kusweat sana.

Tumia Bathing Salts.

Bathing salts zinasaidia underarm sweating, they unclog pores na kuondoa impurities mwilini. Chukua essential oil yoyote, baking soda, kikombe nusu cha borax na kikombe 1 cha sea salt.

 Changanya vyote na uweke kwenye maji yako ya kuoga (bath tab), kaa kwa dakika 20 then oga kawaida. Unaweza kutumia maji yamoto au baridi.

Tumia Alum.

Alum ni a natural antiperspirant, chukua alum and rub it kwenye ngozi yako ya kwapa, cells zitaswell in size na kuzuia usi-sweat sana.

Tumia Tomato Juice.

Nyanya zina antioxidants zinazoondoa impurities mwilini na kuuacha mwili wako msafi. So chukua juice ya nyanya na uwe unapaka kwenye makwapa kila siku kabla ya kuoga.

Tumia Ndimu/limao.

Nayo unaweza kuitumia kupunguza kusweat sana, chukua kipande cha ndimu au limao and rub it kwa your armpit. Fanya hivyo angalau kwa wiki nzima bila kustopisha. Fanya hivi kila siku kabla hujaenda kulala ili iweze kufanya kazi vizuri.

Hizi ni home treatment nzuri kama huwa una swelling katika makwapa yako, ni rahisi sana kufanya na the plus side ni kwamba itaondoa pia weusi katika makwapa.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.