,

6 TIPS THAT WILL KEEP YOU HYDRATED KWA WASIOPENDA KUNYWA MAJI.

1:51:00 PM


Wavivu wa kunywa maji mnajijua right.. so the good news ni kwamba unaweza kuwa hydrated hata bila kunywa maji muda wote..lakini hii haimaanishi kuwa usinywe maji kabisa. Hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili mwili wako upate nguvu na uweze kuepuka matatizo.

Vitu hivi vitakujulisha kuwa haunyiw maji ya kutosha::

  • Njaa baada ya kula.
  • Mdomo kukauka.
  • Maumivi katika kibofu.
  • Anxiety/uchovu
  • Matatizo ya figo.
  • Mkojo wa njano.
  • Constipation/Kukosa choo.


8 tips to increase your water intake::

1.Kunywa smoothie for breakfast, na kuwa huru ku-enjoy cofee yako. Itaku-boost vizuri kabla hujaanza siku yako.

2.Eat salad or soup na lunch yako..au unaweza kufanya ndio iwe lunch yako kabisa..mambo ya kula healthy will make your skin even more radiant.


3.Kula angalau 2 pieces of fruit kwa siku. Matunda mengi ni atleast 90% water, yana fiber na yanasaidia ku-stabalize your electrolytes.


4.Epuka take-outs na processed food, huwa zimejaa sodium na maji kidogo sana. Inakausha system yako na kkufanya uwe dehydrated haraka sana na pia husababisha bloating/tumbo kujaa gesi.


5.Punguza sukari na uongeze fiber. Sugar inaleta strain kwa figo, na fiber ina-slow down blood sugar levels na kuweka maji mwilini. Hii inaweza kukusaidia pia kupunguza uzito.

6.Kunywa herbal tea kama ukichoka kunywa maji, kama vile green tea, camomille tea, lemon tea, ginger tea nk.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.