8 BEAUTY HACKS UNAZOHITAJI KUJUA RIGHT NOW.

1:08:00 PM


1.Apply foundation katikati ya uso kisha blend it out uso mzima, ukipaka foundation kwenye jawline yako au kwenye hairline utaonekana kama umevaa mask, hivyo paka katikati kisha iblend ndio itakaa vizuri.

2.Pulizia perfume katika sehemu hizi kuifanya inukie siku nzima, ikija kwenye perfume ni all abou locations, sio unapulizia tu on your neck na nguo, pulizia katika sehemu hizi zinazooneshwa kwenye this picture hapo chini.

3.Usitumie concealer tu kuficha madoa usoni, anza kwa kupaka foundation, then ndio upake concealer kisha paka powder ya rangi inayoendana na wewe.

4.Test foundation kwenye shingo sio kwenye shavu. Kwasababu uso wako unakuwa umepigwa na jua basi rangi yake inakuwa tofauti na rangi ya mwili wako wote. Hivyo ukiwa unanunua jaribisha kwenye shingi ili uweza kupatia rangi.

5.Put a dot kwa juu kidogo in the corner of each of your eye ili uweze kupata the perfect liner katika pande zote na zote zionekane sawa.

6.Tumia different lighting ukiwa ndani kucheck your makeup, unaweza ukawa ndani na ukaona makeup yako imekaa vizuri but ukienda nje inakuwa mwanga mwingine na unashangaa umezidisha powder.

7.Tumia coconut oil ku-moisturize. tumia kumoisturize ngozi ya uso, miguu na hata nikono yako. Unaweza pia kutumia coconut oil kama shaving cream.

8.Vaa socks ukienda kulala, apply any moisturizing cream/ oil unayotumia kisha vaa socks. This will make your feet silky smooth.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.