8 TIPS ZA KUNUNUA WIG FOR THE FIRST TIME.

7:00:00 AM


There is a time in life ambapo utakuja tu kununua wigi, cause that is what beauty lovers do, so kabla hujaenda kujichagulia wigi thinking this will suit you best, read the following tips that might help you kuweza kuchagua litakalokufaa..but kama wewe ni an expert ikija to buying wigs feel free ku-comment more tips below.

1.Fanya research kuhusu wig term na features, kama vile kujua lace front, wefted, synthetic, remy, feather-light na silk cap zinamaanisha nini. Na pia fanya research ni kwa nini mawig mengine yana bei kubwa kuliko mengine.

2.Tafuta wig ambalo lipo more natural, ambalo hata ukivaa linaonekana kama ni nywele zako mwenyewe kabisa, yule mtu unayekaa naye tu ndio awe anajua kumbe huyu mtu kavaa wigi. Usichukue wigi la rangi, ni bora kununua wigi zuri jeusi ambalo kama ukitaka kupaka rangi mwenyewe utapaka.

3.Nenda kafanye wig fitting, ili uweze kujua mawig aina fulani yanakukaaje. Ukishajua unaweza hata ukafanya shopping online.

4.Uliza marafiki, every one of us ana yule rafiki mmoja ambaye amevaa wig 24/7 right? so nenda kwake akupe tips au akusaidie kabisa kuchagua.

5.Do not think kuwa kwasababu tu wig ni la bei ya juu basi ndio imara, No! some wigs zinakuwa expensive lakini sio imara. Inasemekana kuwa wig deigners wameweza kupata njia ya kutengeneza na kukata mawig yaonekane kama kitu natural kumbe sio!

6.Ukipata wig zuri, you will still be able kwenda saloon every once in a while kuset, kukata na hata kupaka rangi, kwasababu inakuwa kama ni nywele zako kabisa.

7.Know the difference kati ya synthetic na real hair wigs. Real human hair wigs inawezwa kukatwa na kuwa styled upya kabisa na kuonekana tofauti kabisa, unaweza kuliseti na hata kupaka rangi. Unaweza kuweka way upande wowote ule, na mara nyingi yanakuwa na lace fronts ili kukupa natural hairline. Lakini synthetic hair wigs haiwezi kufanya hivi vyote.


8.Real human hair wigs yanachukua muda mrefu kukauka, kama masaa 24, lakini synthetic ni rahisi kukauka na yanahitaji special wig shampoo ili yasiharibike haraka.

I hope these tips will help you. Good luck!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.