, ,

FACIAL FRIDAY :: CUCUMBER MINT SUGAR SCRUB.

7:00:00 AM

Cucumber mint sugar scrub inanukia vizuri na inasaidia kuondoa ngozi iliyokufa na kulainisha ngozi pia.
Vitu unavyohitaji ::
 • Tango nusu ambalo halijamenywa.
 • Kikombe nusu na robo cha sukari nyeupe.
 • Vijiko 2 vya mafuta ya nazi.
 • 8-10 drops za peppermint essential oil.

Anza kwa ku-puree tango. Chukua kile cha kukwangulia carrot na ukwangue, kisha weka kwenye bakuli.

Then ongeza sukari yako pamoja na mafuta ya nazi, kisha saga kwenye blenda kwa pamoja..kidogo tu isilainike sana, rudishia kwenye bakuli then weka zile drops 8-10 za peppermint essential oil, changanya vizuri kwa kijiko..itakuwa tayari.
Chota kiasi kitakachokutosha then nyingine itunze katika container na kuihifadhi kwenye fridge.
ITAKUWA HIVI.

Then nawa uso wako vizuri kisha ukaushe kwa taulo sana na uanze kuufanyia scrub kama unavyofanya na scrub zingine.

You Might Also Like

2 comments

 1. eti hii facial ni kwa wenye aina gani ya ngozi ya uso

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hii facial inafaa kwa wale wenye Ngozi kavu(dry skin). Kama una Ngozi Yenye Mafuta (oily skin) ongezea ndimu, inasaidia kupunguza mafuta.

   Delete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.