, , ,

FACIAL FRIDAY :: GREEN TEA EXFOLIATOR

12:45:00 PM


Another friday kuanza preparations za your very own facial..hii pia unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani kwako kwa kutumia vitu ambavyo vinapatikana kirahisi tu.

Vitu unavyohitaji ::


  • Green tea (2-4tea bags/dried leaves)
  • Sugar (kikombe1, isiwe kubwa kubwa)
  • Olive oil(kikombe 1/2 iwe asili)
  • Raw honey/asali mbichi(vijiko 2 vikubwa)


Changanya vyote hivi katika bakuli.

 kisha tunza katika container imara.

Chukua kijiko 1 au 2 wakati wa kutumia, hakikisha uso wako ni msafi, anza kumassage polepole usoni au unaweza ukatumia kwa mwili mzima kwa sekunde 30 au dakika 1 tu! kisha nawa uso vizuri na upake moisturizer.
Tumia hii exfoliator mara 1 tu kwa wiki, kama ngozi yako ni sensitive basi tumia kila baada ya wiki 2.
Unaweza kuitunza kwenye sehemu yenye giza kama umetengeneza nyingi, ila ni vizuri kama ukitengeneza kila unapotaka kutumia.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.