, , , ,

FACIAL FRIDAY :: TUMIA HII KUONDOA VINYWELEO USONI BILA MAUMIVU.

3:46:00 PM


Facial hair/vinyweleo vya usoni ni tatizo kwa wanawake wengi, but kuna wengine they embrace their facial hair, na kuna wengine wanaacha kabisa ndevu ziote. But inategemea na likes za mtu.. So kama wewe huoendelei kuwa na nywele usoni then this is for you..hii njia itaindia vinyweleo usoni bila mauvivu au madhara yoyote.
Achana na njia zile zenye gharama na maumivu kama laser hair removal..tumia hii njia asili na unaweza kutengeneza kiurahisi na vitu ambavyo unavyo tayari nyumbani kwako.

Face mask for hair removal::
Vitu unavyohitaji::

  • Kijiko 1 cha unga wa ngano.
  • Kijiko 1 cha sukari.
  • Yai 1.

Changanya vizuri ingredients zote hizi katika bakuli hadi upate paste nzito, itakuwa kama gundi. Hakikisha mchanganyiko wako upo kama gundi ili iweze kufanya kazi vizuri.

Paka kwenye uso wako, hakikisha uso wako ni msafi. Na make sure zile sehemu zenye nywele usoni napo umepaka. Kaa hadi ikauke..baada ya hapo anza kubandua hiyo mask. 


Then nawa uso wako vizuri kwa maji ya uvuguvugu kisha paka moisturizer. The results zitakuwa AMAIZING!
Unaweza ukarudia this process kila baada ya wiki 1 au 2 ili nywele zisirudi.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.