, ,

HAIR TIP!

11:35:00 AM


Ukiwa unanunua product kwa ajili ya nywele zako, it is best kuangalia kama imeandikwa neno "ORGANIC". Ukiona imeandikwa tu "NATURAL" inaweza ikawa sio natural kikweli, au natural lakini bado wamechanganya na ma-chemical mengine. Hivyo always check for the word Organic ukiwa unanunua product for your hair especially kwa natural hair.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.