HOW TO KNOW YOUR SKIN TYPE/FAHAMU UNA NGOZI AINA GANI.

12:14:00 PMThis weekend at a skin care shop, a lady aliingia na alikuwa hajui anunue lotion aina gani, na yule muuza duka naye akamuuliza which skin type she is ili aweze ku-recommend lotion itakayomfaa..but alikuwa hajui so akashindwa kuchagua, maana lotion alizokua akitumia zilikuwa zinamdhuru. It is important kujua una skin type gani, maana itakusaidia kuchagua your skin products na hata kujua makeup aina gani zitakufaa wewe.1.Normal skin/Ngozi ya kawaida.


 • Inakuwa siyo kavu na na wala siyo yenye mafuta, ipo sawa kila sehemu.
 • Inakuwa hutikewi vipele na chunusi sana, na pores zako ni ndogo hazionekani sana.
 • Inaonekana clear na laini.
 • Mwisho wa siku baa ya mizunguko ngozi yako inakuwa kawaida, siyo kavu wala yenye mafuta.
 • Wenye ngozi ya kawaida huwa wanafaidi, kwani their skin inakuwa nzuri na laini na ni rahisi kui-maintain. 

Chagua products kama cucumber toners inaipa ngozi moisture, products zenye alpha hydroxy acid (AHA) exfoliant kupunguza chunusi.

2.Oily skin/Ngozi yenye mafuta.


 • Inakua na muonekano wa kung'aa kutokana na mafuta.
 • Pores zako zinakuwa kubwa na zinaonekana.
 • Unapata sana chunusi, vipele, blackheads.

Chagua products kama vile cleansers zenye citrus (ndimu/machungwa), ili kupunguza mafuta, exfoliate mara kwa mara, na usisahau kumoisturize, kisa tu ngozi yako ni ya mafuta haimaanishi uache moisturizer.

3.Dry skin/Ngozi kavu.


 • Haing'ai.
 • Unakuwa na ngozi kama inababuka kama haujui kuitunza.
 • Small pores.
 • Inawahi kutokea mikunjo/wrinkles usoni.

Chagua products kama vile deep moisturizer kwasababu ngozi yako inahitaji moisture na elastocity ya kutosha kuondoa mikunjo, na epuka scrub na sabuni kali.

4.Combination skin/Kavu na yenye mafuta.


 • Unakuwa na ngozi ambayo sehemu zingine ni kavu na zingine mafuta.
 • Sehemu kama kwenye kidevu, pua na paji la uso inakuwa na mafuta alafu zingine inakuwa kavu.
 • Unakuwa na large pores, na ni rahisi kutokewa na blackheads.

Chagua products kama vile cream yenye rosemary, na paka skin care products kutokana na mahali, yani kwenye ngozi kavu paka product wanazopaka wale wenye ngozi kavu na kwenye ngozi ya mafuta paka wanazopaka wenye ngozi ya mafuta.

5.Sensitive skin.


 • Unakuwa na patches na wekundu.
 • Nirahisi kupata vipele kwani utakuwa unakuwa affected na vitu vingi.

Chagua products natural au zinazotengenezwa na vitu natural kama vile tea tree oil, olive oil nk. Hakikisha unatumia sunscreen kuilinda ngozi na jua, na chagua products zilizoandikwa sensitive skin.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.