, ,

KIDS HAIRSTYLES FROM PRINCESS TIFFAH, MISFANCY & MORE.

2:09:00 PM

Here are cute hairstyles for your baby girls.
Princess Tiffah looking cute na vibutu vyake


 Misfansy naye her hair zimechanwa tu na kuvaa a pink headband.

 Her hair is so pretty, kamebanwa two buns kwa juu na chini zimeachiwa.

 U-natural hair, vibutu vyake vimeunganishwa na uzi then nyuma amebanwa 2 buns

 Same kama hapo juu, except hapa kabanwa kidoti.

 Unaweza pia ukatwist nywele za mtoto wako, lakini usikaze sana.. and add viurembo.

North  with a cute bun

 Two buns..hii hairstyle ni common kwa a lot of kids.

 Yes hata bantu nots unaweza kumsuka mwanao.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.