, , , ,

MAKE YOUR LIPSTICK LAST ALL DAY WITH THIS TRICK.

3:29:00 PM


Some of us tunajijua, lipstick can not last all day..hivyo we carry around our lipsticks and have to reapply tena. So ladies here is a trick itakayofanya your lipstick to last all day long.
Just follow these 5 easy steps to make your lipstick last all day::
1.Hydrate your lips.

Just after bathing hakikisha unapaka lip gloss ili lips zako ziwe haydrated, laini na zisikauke. Paka any lip gloss au hata vaseline. Ukishajiandaa na ndio unataka kuanza kupaka lipstick futa hayo mafuta au lip gloss.

2.Conceal Lips.

Chukua creamy concealer, paka concealer hiyo kidogo tu kwenye lips. Usizidishe maana utafanya lips zionekane kama zina cracks.

3.Line your lips.

Chukua lip liner, then pitisha katika mistari ya lips zako vizuri, it is better kama ukipaka almost your full lips vizuri..na it is even better kama ukanunua lipstick yenye lip liner yake.

4.Apply your Lipstick.


5.Seal color with a tissue.

Chukua tissue, weka kwa juu ya lips zako ukiwa umekwisha paka lipstick, then chukua a makeup brush na uchote powder ya kawaida na kuipitisha kwa juu. Itaondoa excess oil na kufanya lipstick ionekane haing'ai sana.

5.Apply the second layer.

Paka tena lipstick yako, hapo ndio itakuwa imekaa vizuri.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.