,

NJIA YA KUONDOA CHUNUSI KWA KUTUMIA APPLE CIDER VINEGAR.

4:00:00 PM


Kama una chunusi na madoa usoni au huwa unatokewa navyo every once in a while then unajua ni kiasi gani ina-affect how you look. Chusnusi zinasababishawa na hormone au hata wingi wa mafuta..hutokea sehemu yoyote lakini maranyingi usoni. Kuna remedies nyingi sana za kuondoa chunusi lakini sio zote zinazo fanya kazi kwa kila mtu. Lakini apple cider vinegar ni natural product ambayo unaweza kutumia na ikakusaidia kuondoa chunusi na hat madoa usoni.

Apple cider vinegar inasaidia swelling na maumivu yanayosababishwa na chunusi, inaweza pia ikatumika kama natural detoxifier, inaondia alama nyekundu kwa wale weupe, ina-restore pH balance ya ngozi na hata kuua bacteria.

Jinsi ya kutumia Apple cider vinegar kuonda chunusi.
1.Apple cider vinegar & Honey/Asali.

Mchanganyiko wa asali na Apple cider vinegar ni mzuri kutumika kama facial tretment kwa wale wenye chunusi kupata clear skin.
Hakikisha unanawa uso wako kwa maji ya uvuguvugu, kisha ukaushe vizuri kwa taulo safi..na usisugue fanya kama unapat.

Chukua beseni weka maji ya moto yale yanayoyoa mvuke kabisa, kaa kwa juu yake uso ukiwa unaelekea huo mvuke na uweke taulo juu ya kichwa ili huo mvuke ufungue your pores. Kwa dakika 5-10.

Baada ya hapo chukua asali mbichi kisha paka usoni, kuwa kama una massage  hiyo asali usoni kasoro mahali panapozunguka macho. Kaa nayo kwa dakika 15. Nawa kwa maji ya uvuguvugu kisha jikaushe.

Chukua kiasi sawa sawa cha apple cider vinegar na maji, changanya, then paka kwa kutumia cotton wool na uache ikauke usoni.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.