, ,

SOMA HIKI BEFORE WASHING YOUR FACE TONIGHT!

4:17:00 PM

Many of us, tunatumia mikono kuosha uso right?? Lakini little do yo know kuwa mikono yetu hata kama huwa una nawa kwanza bado inakuwa na bacteria kwenye kucha na vidole. So it is better kama utatumia a wash cloth. Tafuta kitambaa kilaini na kisafi ndio uwe unatumia kuoshea uso wako.
 Osha uso wako mara 2 kwa siku, just like brushing your teeth mara 2 kwa siku. Asubuhi na usiku kabla hujalala, hakikisha unatoa makeup yote vizuri. Hata kama haupaki makeup osha uso wako kuondoa jasho, mafuta na vumbi.

Usisahau your hairline. Wengi huwa hawaoshi vizuri uso sehemu ya paji la uso wakiogopa kulowanisha nywele zao au kuharibu style waliyoiweka. Just wear a headband ili kuondoa nywele usoni na hakikisha unaosha uso wako vizuri.

Tumia the right tools. Kama vile baby wash cloth zinakuwa soft zaidi kuliko wash cloth za kawaida. Cotton rounds pia unaweza kutumia kusafishia uso wako, ila hakikisha ni 100% cotton maana nyingi huwa zinatengenezwa na kitu kinaitwa rayon ambayo inadhuru wale wenye sensitive skin. Kuna wale pia wanaotumia sonic cleansing systems unashauriwa kubadilisha brush zake every 2-3 months na uchague brush laini.
wash cloth
 cotton rounds
 sonic cleansing system

Chagua cleanser itakayokufaa wewe kutokana na aina ya ngozi yako. Kujua wewe ni aina gani ya ngozi soma HAPA . Tumia maji ya uvuguvugu na usisugue.

Kausha uso kwa kupat na taulo safi na laini then paka moisturizer.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.