, , ,

SPOTLIGHT :: HOW TO TRIM/KATA NCHA YOUR NATURAL HAIR FOR HAIR GROWTH.

4:00:00 PM


If you are a Naturalista you obviously know kwamba unatakiwa kutrim/kukata ncha nywele zako kila baada ya mda fulani ili ziweke kuendelea kukua.

So kabla hujaanza kukata ncha, osha nywele zako vizuri na shampoo, then paka conditioner zitakuwa safi na laini.

Unaweza kwenda kukata ncha saloon, IF unamuamini huyo hairdresser wako, wengine wanaweza kukunyofoa nywele haswa, so ni boro kujifunza mwenyewe..and kwa ninavyojua a lot of naturalistas hawapendi kabisa other people washike nywele zao. JUST LOOK, DON'T TOUCH!

Here is a short video by My Natural Sistas, anakuelezea step kwa step jinsi ya kutrim natural hair zako ili nywele zako zizidi kukua..You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.