, , , , ,

THESE MEN STYLE THEIR DREADLOCKS BETTER THAN YOU.

3:21:00 PM


A lot of people wanahamia kwenye dreadlocks sikuizi, as long as unajua kuzitunza, unanunua the right products za kuzifanya ziendelee kuwa imara then you good..But when it comes to styling wengi wanakwama hapo. Kuna wengine they know how to style them so well. Styling dreadlocks ni kama tu styling braids. You put them in a bun, you braid them, au hata kuziachia.
Now check out how these men style their dreadlocks.

Huyu za juu kazifunga something kama unavyoanza kusuka mnyoosho, na za chini kaziachia.

Hawa wamezitwist za mbele, then mmoja kafunga bun nusu zingine kaachia, mwingine kafunga ponytail.

 Hapa wamezi twist za mbele then zikabanwa kwa nyuma..kama kilimanjaro cha kisogoni.

 Haya major hotness..unaweza pia kuziweka dreadlocks zako in a big gun..style them however you want kwa mbele kisha funga bun.

 Hawa wamefunga ponytail.

 Hii style naona sana kwa wanaume..but hata girls pia can rock this very well. unanyoa pembeni then katikati unaacha dreadlocks zako.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.