, ,

Things Women With Natural Hair Should Know Before Dyeing Their Hair.

3:34:00 PM


Natural hair looks so good colored right?, But kuna  itu unavyotakiwa ujue kabla ya kupaka rangi nywele zako "natural" Unatakiwa u-consider rangi unayotaka, itakayokufaa na kukupendeza na itakayoendana na rangi yako ya ngozi. Ujue itakupa madhara gani, because wengine hulazimika kukata nywele zao baadae, na ujue utatumia products aina gani.
1.Always nunua mabox kadhaa ya rangi unayoitaka, just to be safe. Usije ukaenda na box 1 au 2 then ukaishia katikati, utakuwa kituko. Natural hair ni nyingi sana na ni nzito, hivyo hakikisha umenunua mabox ya kutosha.

2.Nunua Gel na Liquid color formulas kama utajipaka mwenyewe, hizi ni rahisi na zitakupa full coverage. Lakini formulas hazisambai vizuri haswa kwenye curled strands zako.

3.Kama unataka ku-lighten your hair, ni bora kuenda saloon kwa proffessional.

4.Usioshe nywele na shampoo kabla ya kupaka rangi. Usioshe nywele kabisa kabla ya kupaka rangi! Nywele zikiwa chafu ndio rangi itasambaa na kukaa vizuri zaidi.

5.Tumia deep conditioning/masque angalau mara 1 kwa wiki baada ya kupaka rangi nywele zako. Unaweza kutengeneza yakwako mwenyewe nyumbani (bonyeza hapa kujua jinsi ya kutengeneza) au ukanunua. vaa plastic wrap na uiache deep conditioner kwa dakika 20.

6.Tumia shampoo ambayo ina-preserve rangi. Kuna shampoo ambazo ni special kwa wale waliopaka rangi nywele zao, hizi shampoo zinakuwa zia sulphate na ina lightweight inayolinda rangi yako isiharibike au kutoka.

Soma post ifuatayo.
NINI CHA KUFANYA BAADA YA KU BLEACH/DYE NYWELE ZAKO ILI RANGI IENDELEE KU'NGAA

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.