, ,

TIP :: MAKE GREEN TEA MORE EFFECTIVE AND TASTY.

11:19:00 AM


Kama tunavyojua green tea inasaidia katika vitu vingi sana, kama vile kupunguza uzito, kusafisha damu, na vingine vingi..hivyo here is a tip ya kufanya green tea yako more tasty na kuongeza effects zake.
Changanya green tea na ndimu ili kuweka ladha, green tea zingine huwa ni chungu na hivyo unaweza kuongeza ndimu ili kuipa ladha. Pia usiweke sukari nyingi, either tumia asali kidogo au sukari kidogo.

Either ongeza ndimu katika green tea yako au nunua ile iliyotengenezwa na ndimu kabisa.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.