, , , ,

5 WAYS UNAHARIBU KOPE ZAKO BILA KUJUA.

12:47:00 PM


Urembo una gharama yake, lakini it is always better ukijua ni kitu gaini kinakuletea faida na kipi kinakuletea hasara katika your beauty routine. Hizi ndio njia 5 ambazo zinaharibu kope zako.

1.You curl your lashes baada ya kupaka mascara.

Uki-curl lashes zako baada ya kupaka mascara inafanya kope zako zikauke na kukakamaa ambapo huwa ni rahisikwa kope zako kukatika.

2.Unabandika Kope feki vibaya.

Kama wewe ni mtumiaji wa kope za kubandika basi utakuwa umenotice kope zako zikikatika na kuwa fupi. Hii ni kutokana na kubandika heavy double layers au kuzitoa vibaya. Hutakiwi kuzibandua tu kama zilivyo bali tumia Q-tip na upake mafuta kama olive oil kwenye lash line yako ili kuilainisha gundi.

3.Hutumii makeup remover inayokufaa.

Makeup remover ambayo ni oil based ndio itakuwa haina madhara kwa kope zako. Maana wakati wa kutoa makeup uakuwa unatumia makeup remover kufuta nyusi na hata eye makeup yako, so kama unatumia makeup remover mbaya inaweza ndio ikawa sababu ya kope zako kukatika.

4.Unapaka waterproof mascara kila siku.

Yes we all love waterproof mascara, kwakuwa hataukinyeeshewa na mvua haitotoka. Lakini hata utumie makeup remover kiasi gani ni lazima kuna kope zitanyofoka na kukatika. Ni bora kupaka waterproof mascara kwa special occasions tu.

5.Haufuati proper hygiene.

Kama tu pores zilizokuwa usoni kwako, lash line yako pia ina pores ambazo usiposafisha vizuri zinakuwa clogged, ndio maana kuna wale wanaotokewa vipele kwenye huo mstari wa kope.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.