7 STEPS FOR MAINTAINING YOUR BRAIDS/TWISTS.

3:10:00 PM


Hey Loves, lets be honest hapa..braids zinachukua muda mrefu na zinacost pia bila kusahau maumivu you have to endure wakati wa kuzisuka. Mtu ukisuka braids au twist zako you want them to last a while bnah..sio unasuka af then baada ya wiki 2 tu zimeanza kulegea na kuchomoka.

 So here are tips zitakazo kusaidia kutunza braids au twists zako na zidumu kwa muda mrefu::

1.Protect your hair at night.
A girl lazima uwe na scarf au kitambaa chochote ambacho unatumia kufunga nywele zako muda wa kulala ,lakini kwa braids/twists hakikisha unatumia a silk head scarf,satin hair bonnet na ulalie satin pillow case..hii itasaidia braids/twist zako zisinyonywe unyevu na zisikauke na zisivurugike.

2.Keep your scalp moist.
Make sure you have a spray special for your braids and scalp ili ngozi ya kichwa isikauke. You can even make one mwenyewe. post coming soon on how to make it. Your roots are always thirsty so hakikisha you keep them moisturized.

3.Avoid unnatural products for keeping your hair moisturized.
Epuka kutumia products ambazo sio natural katika kumoisturize braids/twist zako, epuka mineral oils, tumia natural oils kama coconut oil, jojoba, aprocot nk.

4.Wash your braids angalau mara 1 kwa wiki.
Kutokana na joto na mafuta unayopaka to keep your braids/twists shiny, ngozi yako ya kichwa will be clogged hivyo ni vizuri if you wash angalau mara 1 kwa wiki kwa ale ambao hawawezi kukaa muda bila kuosha nywele, lakini ukiamua kukaa muda mrefu 2 weeks is the maximum kuenda bila kuosha nywele.


5.Punguza Up-dos, pulling and high manipulation.
Kama unapenda kuzistyle sana braids/twists zako basi utakua ushagungua kwamba huwa zinafumuka haraka sana, kwasababu ya kuzivuta na kuzi funga funga. Hivyo kama unataka zikae kwa muda punguza kuzistyle sana, au chagua style ambazo haikulazimu kuzi vuuta sana.

6.Re-do your edges kila baada ya week 4 hadi 6.
Edges ni hizo za mbale, kwa wote huwa zina chomoka au kulegea kiurahisi sana unless unanywele ndefu sana. Hivyo kila baada ya wiki 4-6 re-do edges zako ili your braids.twists zionekane brand new.


7.DO NOT WEAR BRAIDS FOR TOO LONG!
Yes we want our braids to last long..lakini ni just long enough hadi tuwe satisfied. Kuna women wamenaweza kukaa na braids/twist zao kwa miezi 4 kwa kuweza kuzitunza vizuri. Lakini unashauriwa ukae nazo kwa miezi 2 tu, because ukikaa nazo muda mrefu nywele zitaanza kuoteana nazingine kukatika kwakuwa zitakuwa zinavutwa na rasta.
box braids and twists.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.