, ,

FACIAL FRIDAY :: 2 SKIN TIGHTENING FACE MASK.

1:09:00 PM


Tunavyozidi kukuwa unaanza ku-notice kuce ngozi yako inaanza ku-produce mafuta kidogo usoni, na hivyo kusababisha ngozi yako kukakamaa na kuanza kuchakaa na kutokea mikunjo usoni. Hivyo unabidi kuanza kufanyia kazi mapema. Face mask zifutazo zitakusaidia kukaza ngozi yako, ili isikunjike na kuzeeka mapema.

Egg white mask.

Kama huna muda wa kutafuta ingredients zingine kuchanganya, basi chukua tu yai na utoe kiini chake, kisha paka lile yai la nje. Kaa nayo hadi ikauke kisha nawa kwa maji ya uvuguvugu. Kausha uso kwa taulo safi then paka moisturizer.

Egg white, honey and floor mask.

Unaweza pia kuongeza unga wa ngano na asali katika lile yai la nje kisha ukapaka usoni, na kusubiri hadi ikauke. Kama una ngozi kavu unaweza ukaongeza glycerine.
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.