, ,

FACIAL FRIDAY :: BANANA FACIAL MASK NZURI KWA NGOZI KAVU.

10:00:00 AM

Tumia ndizi kutengeneza an all natural home made facial mask mwenyewe, it is easy and you get radiant skin. As you know ndizi zina Vitamin A,B,E na potassium..inasaidi kunyanyua uso, kuondoa makovu na kuepusha ngozi kavu.

Kufanya rangi ya ngozi kuwa light zaidi chukua ndizi ponda ponda na uma isagike kabisa the add ndimu na asali, changanya vizuri .


Nawa uso, kausha kwa taulo polepole kisha paka mchanganyiko wako. Kaa nayo kwa dakika 10-15 then nawa kwa maji tu ya uvuguvugu.


Kuondoa chunusi, chukua ndizi moja iliyoiva (sio iliyopikwa!) ponda ponda ikishalainika vizuri weka kijiko nusu cha binzari manjano na nusu cha baking soda. Changanya vizuri kama ni nzito sana weka maji kidogo.

Kama kawaida nawa uso kwanza, kausha kwa taulo then paka, hakikisha mikono yako ni misafi. Kaa nayo kwa dakika 10-15, nawa kwa maji ya uvuguvugu, kausha uso then moisturize.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.