, ,

FACIAL FRIDAY :: JINSI YA KUFANYA AN ALL NATURAL STEAM FACIAL.

11:42:00 AM


Alright darlings, it is finally Friday, this has been a long week kwa mimi I don't know about you..so it is time to prepare for some cleansing, kuondoa uchafu na mafuta usoni..nobody wants ngozi yao kuharibika right. So leo nawaletea this natural steam facial, itafungua your pores na utaweza kutoa uchafu na mafuta usoni.

Step 1 :: Preparation/vitu utavyohitaji

  • Baking soda.
  • Apple cider vinegar.
  • Herbs (mint/chamomile/rosemary/parsley.nk)
  • Hot water/maji ya moto


Step 2 :: Cleansing

Chukua vijiko 2 vya baking soda na kijiko 1 cha maji, changanya upate paste nzito. Paka usoni na uanze ku-massage pole pole uso mzima kuondoa dead skin, kufungua pores..then nawa kwa maji ya kawaida.

Step 3 :: Steam

Chukua maji ya moto kabisa, yawe bado yanatoa mvuke. Weka herbs ulizochagua, unaweza kupata herbs sokoni.Kama una ngozi kavu tumia chamomile. Mint na licorice inafaa kwa ngozi aina zote. Then chukua taulo na ujifunike kichwani na uso wako uweke over the hot water ili mvuke uwe unakuja usoni. Steam uso wako kwa dakika 10 ili kufungua pores usoni.

Step 4 :: Dry your face.

Kausha uso wako kwa taulo safi.

Step 5 ::  Tone your face.

Chukua kiasi sawa cha maji na apple cider vinegar. Changanya na utumie cotton pad kupakia usoni. Kama una ngozi sensitive weka maji zaidi ya kipimo cha apple cider vinegar.

Step 6 :: Moisturize.

Paka moisturizer unayoipenda, lakini kama unataka kuendelea na all natural process paka mafuta ya nazi au olive oil..na usipake makeup for the rest of the day.
Photo credit :: Byrdie.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.