FAIDA 4 ZA KUTUMIA ALOE VERA KWA NGOZI YAKO.

10:00:00 AM

Kama tunavyojua mualovera unamatumizi mengi sana, ila nimekuletea njia ya kuitumia ili kuweza kuibenefit ngozi yako.
1.Prevents early signs of aging/ inazuia zile alama za ngozi kuzeeka, kama vile kuondoa mikunjo, ngozi kukauka na hata vichunusi.

  • Chukua kijiko kimoja cha aloe vera gel, kijiko nusu cha olive oil na kijiko kimoja cha oatmeal.
  • Weka vyote hivi kwenye bakuli, kisha changanya upate mchanganyiko mzito.
  • Paka usoni na acah kwa dakika 30.
  • Then nawa na maji ya baridi.
2. Moisturizes skin/hulainisha ngozi.
  • Ukiwa na ule mualoevera wenyewe, toa ganda lake la nje upate ile gel ya ndani.
  • Paka ile gel, ukae nayo kwa muda then nawa kupata ngozi laini.
3.Reduces acne & lightens blemishes/huondoa chunusi na madoa.
  • Chukua aloe vere changanya na ndimu.
  • Paka usoni na ukae nayo kwa dakika 10-15, then nawa.
  • Ni vyema uipake usiku, iwe ndio night gtreatment yako.
4.Heals external wounds & mosquito bites/inaponya vidonda.
  • unaweza kupaka aloevera kwenye vidonda, au kama ume'ngatwa na mbu. You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.