, ,

HAIRSTYLES ZA KUVAA KIPINDI CHA KUBADILI NYWELE ZAKO TO NATURAL.

10:00:00 AM


Kwa wale ambao nywele zao ni relaxed na umepanga ku-transition back to natural hair, there are these go to hairstyles ambazo ndio zitakufaa katika kipindi hiko hadi nywele zako ziwe full natural and ziwe na a defined texture, yani all relaxed hair ziwe zimeshatoka kabisa...Ooor you can just have the big chop.
1.ROD SETS
Rod sets, nadhani ndio inaitwa mirija..unaweza kuweka mirija bila hata kukaa kwenye dryer..kama una transition unatakiwa kuacha kutumia moto kwenye nywele.


2.TWIST OUTS.
Hizi unatwist nywele zako then baada yamda unfumua, zinakuwa na mawimbi natural.

3.BRAID OUTS.
Hizi ni kama twist outs lakini instead of twisting unasuka kabisa njia 3 then unafumua kupata mawimbi yake.

4.FLAT TWIST.
Zinasukwa kama twende kilioni in any direction except hizi unazitwist.

5.BUNS.

6.BRAIDS.
Lakini zisikaze sana

7.BANTU KNOTS.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.