HOME REMEDIES KWA NGOZI KAVU

8:00:00 AM


1.Rose water
Chukua 1/2 kijiko cha maji ya Rose na kijiko 1 cha asali changanya na paka kwenye uso wako na acha kwa muda wa kama dakika 15-20 kisha osha uso wako kwa maji ya uvuguvugu. Asali itakusaidia kulainissha ngozi yako pamoja na kufanya ngozi kuwa nyororo kama ni kavu na mchanganyiko huu unaweza kutumia kila siku. 

 2.Almond oil & Olive oil
 
Massage uso wako mara kwa mara kwa kutumia Almond oil/mafuta ya mlozi au mafuta ya Olive hii itafanya maajabu kwa wale wenye ngozi kavu. 

3.Apples 
Kuchukua 1/4 ya apple na limenye maganda yake kisha lisage then liweke kwenye friji likipata baridi litoe na paka kwenye uso wako na kaa kwa muda wa dakika 15 then osha kwa maji baridi. Apple husaidia kulainisha ngozi kavu na kuwa na rangi nzuri. 

4.Milk
Kuchukua 1 tbsp ya maziwa/cream. Koroga lightly mpaka inakuwa nzito kuweza kupaka. Paka kwenye uso na shingo kabla ya kuoga na kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kisha safisha uso na shingo yako kwa maji ya uvuguvugu. Cream/maziwa husaidia kuondoa suntan na hufanya ngozi yako silky na supple.

You Might Also Like

1 comments

  1. My dia hongera kwa ushauri mzuri

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.