, , , , ,

JINSI YA KULINDA YOUR NATURAL HAIR WHEN WEARING WIGS, WEAVES & BRAIDS.

2:47:00 PM


We can call all these protective hairstyles, maana they are simple kutunza na hata ku-style ukilinganisha na natural hair zako. Lakini hata kama ni rahisi kuvaa wigs, kusukia weaves na kusuka rasta, usipozitunza nywele zako natural zitaharibika.

Prepare natural hair zako kabla hauja sukia weaving, kusuka rasta au kuvaa wig, andaa nywele zako kwa kuhakikisha nywele zako zina moisture ya kutosha, fanya steaming, fanya deep treatment, conditioner, na mafuta ya kualinisha nywele zako. Yani, make sure nywele zako hazijakakamaa kabla ya kusuka au kuvaa wig.


Usikae na protective style kwa muda mrefu, kukaa na hizi protective styles kwa muda mrefu ndio kosa kubwa ambalo wengi hufanya, na hii hupelekea kwa nywele zao kuharibika. Ni bora kukaa nazo angalau kwa wiki 6 kama unataka kukaa nazo kwa muda mrefu kisha ziache zipumue, and always trim nywele zako baada ya kufumua. Ingia HAPA kujua jinsi ya kutrim natural hair.


Hakikisha nywele zako na scalp ni safi katika kipindi hiki unacho kuwa na protective hairstyle. Osha na kukausha vizuri, paka mafuta ili ngozi yako ya kichwa isikauke na kuepusha kupata mba.


Usiingie baharini ukiwa na wig, weaving au rasta, maji ya bahari yana chumvi hivyo yatakausha nasababisha nywele zako kukatika.

Protect your edges, ma-weaving yanayotight sana, rasta nzito hizi zote zinakuwa zinavuta nywele zako, na kuzifanya zikatike, ndio maana wanawake wengi nywele zao za mbele/edges zimekatika au hawana kabisa. Hivyo vaa  wig linalokutosha vizuri, na suka rasta ambazo ni size ya kawaida, tunajua kuwa ndio style right now kusuka marasta mengi lakini ina madhara yake pia.You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.