, ,

KUZA NYWELE HARAKA KWA KUTUMIA HII HAIR MASK ASILI.

2:10:00 PM


Kuza nywele  haraka, ziwe ndefu haraka ukitumia vitu ambavyo tayari vipo jikoni kwako, rhis hair mask ni full natural, kama hauna vitu baadhi unaweza kuvipata kwa bei ya kawaida kabisa.
Vitu utakavyohitaji for this Hair mask::

  • 1 Egg/Yai 1
  • 1 tbsp. mashed banana/kijiko 1 cha ndizi iliyopondwapondwa.
  • 1 tbsp. mashed avocado/kijiko 1 cha parachichi iliyopondwapondwa.
  • 1 tbsp. plain greek yogurt/kijiko 1 cha greek yogurt.
  • 1 tbsp. almond milk/kijiko 1 cha maziwa ya lozi
  • 1 tbsp. coconut milk/kijiko 1 cha maziwa ya nazi

DIRECTIONS::
Weka vyote hivi kwenye blender, saga kisha paka kwenye nywele zako. Paka kuanzia kwenye ngozi ya kichwa hadi ncha ya nywele. KAMA UNA NYWELE NYINGI ONGEZA KIPIMO.

Vaa shower cap au funga mfuko na ukae nayo kwa dakika 20-30.

Osha kwa maji ya baridi (siyo yaliyotoka kwenye fridge!)..ya kawaida. Rudia hivi mara moja kila wiki.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.