, , , ,

MATUMIZI 13 YA VASELINE.

11:00:00 AM1. Yanakuza kope zako, just chukua brush la mascara safisha vizuri, weka vaseline na tumia kuchania kope zako kila siku utaona mabadiliko.

2. Yanalainisha mikono na miguu iliyokauka na kupasuka.

3. Yanalainisha cuticles zako, na kuzifanya kucha ziwe healthy, paka kila baada ya kunawa mikono au when doing your own manicure.

4. For kissable, luscious lips, yanalainisha lips.

5. Yanasaidia perfume yako ikae kwa muda mrefu, paka vaseline kwene sehemu ambazo unapulizia perfume kisha ndio ujipulizie (i.e. the cleav, behind the ear, neck, wrist) and your scent will last longer!

6. Tumia vaseline as a makeup remover.

7.Ynalainisha nyusi zako wakati wa kuzichonga/plucking

8.Inazuia rangi ya nywele uliyopaka isichuje kwenye paji lako la uso...paka vaseline kwenye hair line yako and all is good.

9.Hutoa makeup stains kwenye nguo.

10.Next time kama rangi yako ya kucha imeganda na haifunguki, paka tumafuta ya vaseline kwa chini, itasaidia.

11.Changanya na sea salt kupata the perfect exfoliating body wash.

12.Unaweza kutumia kutolea false lashes.kope feki.

13.Kuifanya ngozi kuwa soft baada ya ku-shave paka vaseline.You Might Also Like

1 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.