, ,

ABEE NATURAL SAYS KUWEKA MAYAI KWENYE NYWELE IS A BIG NO! FAHAMU NJIA YENYEWE YA KUZIPA PROTEIN NYWELE ZAKO.

11:00:00 AM


So apparently ile njia tuliyokuwa tukitumia toka utotoni ya kuweka mayai kwenye nywele ili kuzipa protein ilikuwa ni kazi bure, kupoteza mayai bure tu.
 Kwenye hii video by Abee natural anatupa njia nyingine ambayo ndio itazipa nywele zako protein..utaona vitu vyote anavyotumia hatua kwa hatua na unaweza kumuuliza maswali kwa her Instagram account :: ABEE NATURALSYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.