,

JINSI YA KUTINDA NYUSI ZAKO MWENYEWE/HOW TO TRIM YOUR EYEBROWS

7:00:00 AM

Wengi huwa tunakimbilia saloon kutinda nyusi, lakini msilojua ni kwamba ni rahisi sana haswa ukijua uso wako unaendana na shape ipi ya nyusi. Bonyeza "Eyebrow shaping guide" kujua shape ya nyusi zako.

Vitu utakavyohitaji ni::

Spoolie brush

Eyebrow razor/tweezers
Thin scissors

So now that you have those, zinazofuata ni step by step kuchonga au kutinda nyusi::
1.Kwanza chukua browbrush yako, chana nyusi kwenda juu, then chukua mkasi wako na kata zile nyusi zilizojitokeza.
Hakikisha unajua ni shape gani unataka nyusi zako zikae. Fanya hivyo kwa nyusi za upande wote ili zilingane.

2.Tena chana nyusi zote kwenda chini, kisha kata zile zilizojitokeza. Hapa inategemea na nyusi kama zimejipanga vizuri au vipi. Ili kujua ni shape ya aina gani nyusi zako zitapendeza fuatilia hizi guidelines.

3.Chukua tweezers ili kuondo vinyusi vilivyobakia, unakua unanyofoa fasta fasta ili usipate maumivu. Wengine huwa wanapaka shaving creme ili kurahisisha nyewe kutoka. lakini usije ukapaka nyusi zote, paka pembeni tu ambapo unataka.

Here is a simple video from Kayleigh kukusaidia for more guidance 
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.