, ,

NJIA ZA KUKUZA YOUR NATURAL and RELAXED HAIR.

9:00:00 AM


1.KATA NCHA!

Wengi wetu tunaogopa kukata ncha au hatutaki kabisa wit the fear kwamba nywele zitazidi tu kuwa fupi..but the real thing hapa ni kwamba ukikata ncha unakuwa unakawa zile nywele ambazo zinazuia nywele zako kukua haraka na vizuri..na pia ukikata ncha nywele zako zitalingana, hata za mbele nazo zitakuwa zinaota.

2.TUMIA HENNA TREATMENTS BADALA YA BLEACH.

Nimesoma sehemu kuwa henna ina strengthen follicles zako, ina lock in the moisture kwenye nywele zako,makes the hair more resistant to heat as well as damage that occurs from combing, brushing, and other regular maintenance of the hair.
3.DEEP CONDITIONING & HOT OIL TREATMENTS.

Sio kwa wenye natural hair tu, hata kama nywele zako umeweka dawa unatakiwa uzitunze vizuri ili zisiharibike. Tumia deep conditioner evry now and then, inaweza kuwa leave-in conditioner au conditioner ya kuosha na pia hot oil treatment inachukua nafasi kubwa sana katika kukuza nywele zako.
4.PENDELEA PROTECTIVE STYLES.

Protective style ni nzuri sana ikija katika kukuza nywele zako, kama vile mbii kichwa, box braids, crotchet braids na hata havana twists. Ingia HAPA kuona some protective styles.

5.PRODUCTS! PRODUCTS! PRODUCTS!

Usiogope kutumia products, cha muhimu ni kujua nywele zako zinarespond vipi na product aina fulani, kama wewe ni mtu wa vitu natural basi tafuta products zenye natural ingredients.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.