, , , ,

BEAUTY PRODUCTS AMBAZO HUTAKIWI KU-SHARE EVER.

3:16:00 PMWe love makeup and our best is pia love makeup Lakini kuna somethings tunashauriwa kuwa haifai ku-share, because mnaweza kuamukizana magonjwa,kuhamishiana bacteria nk. Ndio maana mtu unajikuta unapata machunusi yasiyopona kisa ku-share.
So ladies hivi Ni vitu ambamvyo hutakiwi ku-share na mtu yoyote hats bestie wako..
  • Any beauty products that comes in a jar


  • Mascara

  • Pressed foundation.

  • Lipstick or balm or Lip gloss

  • Cream shadows

  • Makeup brushes

  • Facial cleansing brush

Razors


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.