, , ,

BEAUTY VLOGGER STEPHANIE LANGE ANATUMIA NYWELE ZAKE KUONGEZEA NYUSI ZAKE.

10:00:00 AM

As days keeps going beauty bloggers na vloggers wanakuja na new things kila kukikucha, and now this. So this beauty vlogger Stephanie Lange anakata nywele zake mwenyewe na kuzutumia kugandisha kwenye nyusi zake ili azijazilize vizuri.
I think kuna eyebrow extensions amabazo unaweza kutumia, au hata tatoo ambazo watu sikuhizi hufanya ili kupata permanent brows, but I guess ameamua tu kutimia nywele zake mwenyewe. 


Gundi

Results are pretty good though.

Angalia hapa the full video anvyofanya.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.