, , ,

JINSI YA KUONDOA MAKOVU YA CHUNUSI

9:00:00 AM

Kama tunavyojua chunusi hazitakiwi kusababisha makovu lakini ukitumbuaji au kubadua chunusi kunasababisa makovu kwenye uso au mwili.
Kama unamakovu ya chunusi kuna namna nyingi ya kuweza kuyaondoa makovu hayo lakini treatment zake zinaweza kuwa na maumivu sana au za ghali sana lakini kuna njia za kihalisia za kuweza kuondoa makovu hayo.
1.Paka bleach cream kwenye sehemu zenye makovu ambapo cream hii husaidia kuyangarisha makovu
2.Pia unaweza kutumia kuondoa ngozi ya juu (Exfoliate) kwa kutumia facial body scrub kwa sehemu zile zenye makovu lakini inategemea na sehemu gani ya mwili. Uondoaji huu wa layer ya juu (Exfoliate) unaweza kufanya angalau mara mbili kwa wiki.

3.Tumia product ambazo zina `hydroxy acids` hii acid hutokea kihalisia na hutibu ngozi yako na vile vile ngozi yako itaonekana younger and smoother, na makovu ya chunusi hupotea. Unaweza kupata hydroxy acids tofauti tofauti za skin care products kam vile cleansers, lotion na serums.
4.Pia unaweza kumassage makovu ya chunusi kwa maana massage hushauriwa kwa ajili ya mzunguko wa damu ambapo husaidia hufika katika sehemu zile zenye makovu ambapo tunaambiwa massage pia husaidia sana kuvunja scar tissue.
5.Vile vile kuna diet za kufanya ambazo husaidia kuondoa makovu kwenye ngozi ambapo unatakiwa kula vyakula vyenye vitamins na nutrition vinasaidia kutengeneza ngozi yako kuwa na afya.Kama lishe yako sio nzuri ngozi yako pia haitaweza kujitengeneza yenyewe (heal its self)na itakua ngumu kuondoa makovu kwenye mwili.
6. Waweza pia kutumia cream maalumu kwa ajili y akuondoa makovu mwilini na crea hizi hupatikana sehuku nyingi na husaidia sana kuondoa makovu ya chunusi.Unachotakiwa ni kufuata maelekezo ya cream unayotumia ambapo utatakiwa kupata kwa muda kadhaa kwa muda wa wiki 12 kabla ya kuona matokeo.

You Might Also Like

2 comments

  1. Tunashukuru kwa hili darasa, na siui hizi dawa zipo maduka yote ya dawa?

    ReplyDelete
  2. Ningependa kujua hii cream ya scar zone acne nitaipata duka gani maana nina tatizo hilo naomba msaada jamani

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.