,

VITU UNAVYOHITAJI KUTENGENEZA HEALTHY GREEN JUICE.

3:12:00 PM


Niliwaletea post kuhusu faida za kunywa green juice, sasa leo tuone Ni vipi unaweza kutengeneza Green juice ambayo ni healthy na utakayoipenda wewe.
Hizi measurements ni kwa ajili ya serving 1 tu..Yani unakunywa mara 1 tu. Ukitaka zaidi ongeza vipimo.
The first thing unatakiwa kuhakikisha unacho ni Juicer. Zipo juicer aina nyingi, yoyote Ile itafaa.

Chakujua ni hiki::
  •  kupata green juice ambayo ni just the right amount. Unatakiwa ku-consider ni Juice base ndio unachagua matunda unayotaka kuchanganya kwenye green juice yako.
  • Then Kuna main ingredients ambayo ndio Kuna majani yenyewe ambayo Huleta green juice yenyewe.
  • Na Optional ingredients, hapa ndio unaongeza vitu vingine unayotaka ambayo si lazima kuweka kama vile mint.
Juice Base + Main Ingredients + Optional Ingredients
= Great Tasting Green Juice 
*Mboga za majani nitazotaja zinatakiwa kuwa juiced Bila kipikwa!
Tuangalie Kila kipengele kina vitu gani::
JUICE BASE.
Kwanzaa kabisa chagua ni base gani unataka kuanza nayo. Green juice haimaanishi unatakiwa kuweka vegetables peke yake. Unaweza kutumia base kama vile 1 carrot and 2 apples. Wengi hupendelea hii. 

 Au 2 green apples na ndimu nusu usimenye
Celery

Au tango moja dogo na celery ribs 4.

MAIN INGREDIENTS.
Baada ya kuchagua hapo juu nine itakuwa base yako. Ndio unaweza kuchanganya na vitu Katie ya hivi::
1.Kale na Celery.

8-10 kale leaves and 6-8 ribs of celery.

 2.cabbage na celery.

Cabbage nusu na ribs 6 za celery.

3.Cabbage na Broccoli .

Cabbage nusu na vimiti 4-5 vya broccoli. 

4.Brussels sprouts  na Capsicum.

Brussels sprouts 6-8 na hoho 2 na ndimu nusu.
5.Collard green na spinach.

Collard green 6-8 na spinach fungus 1.

6.Bitter gourd na Pumpkin.

Bitter gourd nusu na boga robo. 

7.Lettuce na Asparagus.

Vichwa 2-3 vya lettuce na asparagus 10-12.

8.Spinach na capsicum/hoho.

Fungu1 la spinach na hoho 2.

9.Lettuce na cauliflower.Vichwa 2-3 vya lettuce na cauliflower nusu.

10.Beetroot na lemon.

Beetroot 2-3 na ndimu nusu.
*Unaweza kumix unavyotaka.
   
Optional ingredients. 

Hapa unaweza kuongezea kama unataka so lazima, vitu kama :
Garlic/kitunguu swaumu.
Ginger/tangawizi. 
Onion/kitunguu maji.

Wengine huongeza mint leaves, cayenne powder, chia seeds nk.
Ukishazoea utakuwa unajua ni kitugani na gani utaweka na unapendagreen juice yako owe vipi.
Just keep it simple, usichanganye vitu vingine sana na green juice yako isiwe tamu sana, itaondoa mana ya kuwa healthy.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.