, , , , , ,

HOW TO GET RID OF CAVITIES NA KUPATA MENO YENYE AFYA.

11:20:00 AM


Kwa Kila mtu Ni lazima inafikia kipindi unakuwa unasumbuliwa na meno. Mara yanatoboka, yanakuwa ya njano hata kama unapiga mswaki Kila siku.
Hii Ni simple natural remedy unazoweza kutumia ili kuondokewa na matatizo hayo..

Unahitaji vitu hivi 4 tu::
1.Coconut oil/mafuta ya nazi.

2.Mineral salt.

3.Baking soda.

4.Essential oil.


INSTRUCTIONS ::
Changanya kijiko 1 Cha mafuta ya nazi, kijiko 1 cha mineral salt, 1 kidogo cha baking soda na drops 15 za essential oil uliyonayo.
Essential oil unazoweza kutumia Ni kama tea tree oil, cinnamon, peppermint oil, clove oil na zingine nyingi.
Unaweza kupata essential oils katika maduka ya vipodozi Au hata supermarket.
Tumia mchanganyiko huu Kila siku kupata results haraka..Fanya kama unapiga mswaki.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.