, , , , , , ,

NJIA 2 ZA KUSAFISHA NGOZI KWA KUTUMIA KAHAWA.

12:22:00 PMYes loves, coffee hii tunayokunywa Kila siku kwa  wale coffee addicts you should know that unaweza pia ukatumia kahawa kusafisha ngozi yako.

 Unaweza kuitumia kama scrub kwa kuchanganya na vitu vingine ili kuondoa michirizi/cellulite na Acne/chunusi.

1.COFFEE SCRUB FOR CELLULITE.

Chukua coffee grounds na coconut oil, changanya vizuri kisha itumie kama scrub nyingine katika sehemu ambapo unacellulite..Scrub pole pole in a circular motion kwa Muda wa dakika 10-15. Kisha nawa kwa maji ya uvuguvugu. Kausha then paka moisturizer.

2.COFFEE SCRUB  FOR ACNE.

Vitu unavyohitaji Ni Coffee, coconut oil, na cinammon/mdarasini. Changanya vizuri kiasi sawa kwa Kila kitu.
Paka usoni na uwe kama una-massage polepole kwa Muda wa dakika 5-10.
Nawa uso kwa maji ya uvuguvugu then paka moisturizer.

*Fanya mara 2 kwa wiki  kwa miezi 3..utaona matokeo mazuri.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.