, , , ,

NJIA RAHISI YA KUIFANYA NGOZI YA MIGUU YAKO IWE LAINI.

12:16:00 PM


Every part of your body needs to be taken care of ladies. .hate huko chini kwenye miguu yako, Nobody wants to wear cute sandals huku miguu chini imepasuka, it doesn't give you a good look.
Luckily leo nawalete a very simple way ya kuweza tatua hili tatizo, na unahitaji vitu 3 tu::
1.Listerine.

2.Vinegar.

3.Water.
PROCESS::
Chukua kikombe robo cha Listerine yoyote. Wengi huwa wanpendelea Ile ya blue, kikombe robo cha vinegar na changanya na maji ya uvuguvugu Au ya moto ukipenda.

Loweka miguu yako kwa Muda was dakika 10 hadi 15. Baada ya hapo chukua taulo ujifute,  utaona ngozi Ile iliyokauka inatoka.
Paka moisturizer na ufanye hivi Kila ukiwa na Muda.  
In a matter of  days miguu yako itakuwa soft.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.