, , , , , , , ,

SIMPLE DIY SERUM YA KUKUZA KOPE ZAKO.

10:21:00 AM


Lashes Ni a big part of a woman's beauty ndio maana that perfect face beat is never complete without adding lashes.. it makes your eyes look dreamy. .
But Kuna those days when you feel like going all natural..na hutaki kuvaa makope..now that is when you wish kwambs ungekuwa na your very own long lashes.

So ladies hii Ni simple serum unayoweza kutengeneza mwenywe na ukawa unapaka kama mascara na kope zako zitakuwa ndefu in time..
Vitu unavyohitaji::

1.Almond oil. 
2.Castor oil.
3.Vitamin E.

Chukua kachupa cha mascara iliyoisha,  isafishe vizuri then weka kiasi saw a cha Almond oil, castor oil na vitamin E.
Changa ya vizuri,  na uwe unatumia kila siku asubuhi na usiku mda wa kulala. Paka kama unavyopaka mascara.

Unaweza kuipaka Kwanza hii serum  then ndio  unendelee na kubandika kope Au kupaka mascara. 

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.